Skip to main content
Skip to main content

| Tafakari ya Babu | Namtafuta mama yao

  • | Citizen TV
    289 views
    Duration: 1:07
    Ananiambia babu yangu kuhusu kisa cha bwana mmoja aliyekwenda sehemu moja ambapo lugh hazielewani... huyu bwana ana njaa akaingia hotelini kutaka kula...alipokaa tu waiter akamjia, mtoto mrembo wa kike...alipoulizwa alichotaka, akamuita waiter kwa ishara akazunguuka naye kila meza, akafika meza moja kuna jamaa anakula mayai, huyu bwana akatabasamu, akamwambia waiter nataka mama yao, akaletewa mayai boil, akasema ah..akatingisha mabega ( kama ndege kuruka)...waiter akasema ooh, dajajah(chicken in arabic).....ikaletwa kuku akafurahi sana, sasa balaa ni wakati huyu bwana ilipofika asubuhi wakati alipotaka kula breakfast na mkate na sausage.....yatafakari hayo.