Kongamano la magavana wanawake lafanyika Machakos

  • | Citizen TV
    327 views

    Magavana wanawake chini ya kikundi cha G7 wameahidi kuongoza kampeni ya kudumu ya kuwawezesha na kuwaelekeza wanawake zaidi kuingia katika nafasi za uongozi. Mwenyeji wa kongamano la G7, gavana wa Machakos Wavinya Ndeti aliwaongoza wenzake kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa hospitali kubwa ya kitaalamu katika mji wa machakos.