- 287 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Umuhumu wa Mama kumnyonyesha mtoto maziwa ya kifuani | VOA Swahili
- 7 Aug 2025 - Israel's military will have to execute any government decisions on Gaza, the defence minister said Wednesday after reported disagreements over the prospect of a full occupation of the Palestinian territory.
- 7 Aug 2025 - The DP said the administration considers the youth bulge as a resource to be tapped into for faster development of the country as opposed to being a challenge and a burden.
- 7 Aug 2025 - Seven Ethiopian migrants died of hunger and thirst after their boat's engine failed in the Red Sea, the United Nations migration agency said Wednesday.
- 7 Aug 2025 - Investigations have revealed that the woman shot dead by a police officer in Kanyonyoo, Kitui County, was married and had left her husband at home under the pretext of going to work in Kitengela.
- 7 Aug 2025 - The National Police Service (NPS) says it has launched a swift and comprehensive investigation following the BBC Africa Eye documentary, ‘Madams: Exposing Kenya's Child Sex Trade,’ which exposed the alarming issue of child trafficking and sexual…
- 6 Aug 2025 - Retired President Uhuru Kenyatta has in recent days resurfaced in public, triggering political conversations.
- 6 Aug 2025 - IEBC Chairman Erastus Ethekon has announced that the 2027 elections will be free and fair, amidst statements from President William Ruto’s allies that he will be voted back for a second term by all means necessary.
- 6 Aug 2025 - The Ministry of Education has directed all its field officers to enforce strict compliance with traffic laws that restrict school bus operations to between 6am and 6pm, as outlined in the Traffic (Amendment) Act 2017.
- 6 Aug 2025 - Two civil society organisations have moved to court to challenge the nomination of Dr. Duncan Oburu Ojwang as Chairperson of the KNCHR, citing a violation of constitutional gender provisions.
- 6 Aug 2025 - So, what really triggered the call to reassess Kenya’s US non-NATO major ally status?