Wanafunzi zaidi waendelea kuhangaikia karo nchini

  • | Citizen TV
    650 views

    Kisunzi cha ufadhili wa elimu kimeendelea kuzikumba familia nyingi za wanafunzi wasiojiweza nchini, huku wabunge sasa wakiitaka wizara ya elimu kuwasajili wanafunzi wote waliofuzu kupata elimu ya juu. Huku baadhi ya wanafunzi wakishindwa kuanza masomo ya vyuo vikuu, maafisa wakuu wa elimu walikuwa wakihojiwa kwenye kikao maalum cha bunge Nairobi.