Idadi ya waliofariki kwenye ajali Nakuru yafikia 14

  • | Citizen TV
    1,094 views

    Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea mapema leo eneo la Migaa, kwenye barabara kuu ya Nakuru - Eldoret imefikia Kumi na wanne. Hii ni baada ya mtu mmoja kufariki alipokuwa akipokea matibabu hospitalini