14 Oct 2025 10:11 am | Citizen TV 274 views Duration: 1:42 Wakazi wa Ebuyangu eneo bunge la Emuhaya kaunti ya Vihiga wanaishi kwa hofu baada ya mwenyekiti wa nyumba kumi kuvamiwa na kuuwawa kinyama alfajira ya jumamosi alipokuwa anauza maziwa.