14 Oct 2025 10:20 am | Citizen TV 192 views Duration: 2:05 Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) tawi la Trans Nzoia kimepinga shinikizo la kuhamisha usimamizi wa shule za Sekondari msingi (JSS) kutoka shule za msingi hadi shule za upili.