Skip to main content
Skip to main content

Madarasa ya gredi ya 10 yajengwa eneo bunge la Funyula

  • | Citizen TV
    201 views
    Duration: 2:59
    Huku maandalizi ya miundomsingi kwa wanafunzi wa gredi ya kumi yakiendelea kote nchini, wazazi katika eneo bunge la Funyula kaunti ya Busia wamehakikishiwa kuwa shule zote katika eneo bunge hilo zitakuwa na madarasa ya gredi ya kumi ifikapo mwezi wa Januari mwaka ujao.