14 Oct 2025 10:28 am | Citizen TV 220 views Duration: 1:36 Zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Lamu hutegemea bahari Kwa uvuvi,usafiri Na utalii . lakini katika Siku za hvi Karibuni kumeshuhudiwa uchafuzi mkubwa wa bahari Jambo liliowatia wasiwasi washikadau na wakazi wa Lamu.