14 Oct 2025 10:32 am | Citizen TV 118 views Duration: 1:09 Wauguzi katika Kaunti ya Isiolo wametia saini mkataba wa kurejea kazini na kukomesha mgomo wa miezi miwili uliokuwa umesambaratisha huduma za afya katika hospitali zote za umma za kaunti hiyo.