14 Oct 2025 10:42 am | Citizen TV 197 views Duration: 1:44 Serikali ya Kaunti ya Kwale imeanzisha mpango wa kuboresha mazingira ya mto Ramisi kupitia upandaji wa miti pamoja na kusafisha mazingira ya mto huo.