Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa madaktari Kiambu wafika siku 138; watishia kumtimua Gavana Wamatangi

  • | TV 47
    98 views
    Duration: 3:16
    Mgomo wa madaktari Kiambu wagonga siku ya 138 sasa. Madaktari hao wameandamana mapema leo mjini Kiambu. Madaktari hao wamepeleka tetesi zao katika afisi ya Gavana Wamatangi. Madaktari hao wamelalamikia kimya cha serikali ya kaunti. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __