Rais Ruto apanga kufanya uzinduzi rasmi wa ugombea wa Raila Odinga

  • | K24 Video
    95 views

    Rais William Ruto anapanga kufanya uzinduzi rasmi wa ugombea wa Raila Odinga wa uenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika, AUC, hapo Jumanne juma lijalo. Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi ametoa tangazo hilo huku akiwataka wakenya waunge mkono azma ya odinga. kwa upande wake odinga amedokeza nia yake ya kutojihusisha na siasa za humu nchini anapojishughulisha na kampeni ya AUC.