- 153 viewsDuration: 18:47Tunaangazia mipango ya serikali kwa vijana. Mradi wa hivi punde unaitwa "Nyota". Je, vijana wamekumbatia mradi wa Nyota? Vijana wanafahamu jinsi ya kupokea mtaji wa 50k? Pia 'climate worx' unaofanana na 'kazi kwa vijana' Je, hustler fund imewawezesha vijana kiuchumi? Michango ya kuwezesha vijana kiuchumi inawafaidi?