Chama cha UDA chaeleza matumaini ya kushinda

  • | KBC Video
    12 views

    Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya ana imani kwamba chama cha UDA kitatwaa tena kiti cha ubunge cha Magharini wakati wa uchaguzi mdogo unaosubiriwa kwa hamu. Kiti hicho kiliachwa wazi baada ya mahakama ya juu kubatilisha uchaguzi wa Harrison Kombe wa chama cha ODM mnamo mwezi Mei kutokana na madai ya makosa ya kiuchaguzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive