Wafugaji katika eneo la Barsaloi huko Samburu Kaskazini wamenufaika na ghala la kuhifadhi nyasi

  • | KBC Video
    5 views

    Wafugaji katika eneo la Barsaloi huko Samburu Kaskazini wamenufaika na ghala la kuhifadhi nyasi itakayowawezesha kupata lishe ya mifugo wakati wa kiangazi.Meneja wa shirika la World Vision Julias Lentaawa amesema kuwa mradi huo utawawezesha kuhifadhi chakula cha kutosha cha mifugo. Lentaawa aidha ameeleza kuwa mradi huo utachangia kupunguza mizozo kati ya jamii za wafugaji. Wakazi walionufaika na mradi huo wanasema kuwa mradi huo umewadia wakati ufaao na utawaepushia hasara inayotokana na vifo vya mifugo wakati wa kiangazi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive