Chama cha walimu KUPPET chasema hakitasitisha mgomo

  • | Citizen TV
    277 views

    Muungano wa walimu wa shule za sekondary -kuppet- tawi la Bungoma umesisitiza hautasitisha mgomo iwapo serikali haitatimiza matakwa yao.