Polisi 5 wa kituo cha Gigiri waachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    437 views

    Maafisa watano wa polisi kutoka Kituo cha Gigiri hapa jijini nairobi wameachiliwa kwa thamana ya shilingi laki mbili kila mmoja.