Mkenya Asiya amaliza kwenye mabano ya medali kwenye Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris

  • | NTV Video
    60 views

    Kocha mkongwe Mfaransa wa kupiga makasia, Claude Yessad anampigia upatu Mkenya Asiya Sururu kumaliza kwenye mabano ya medali kwenye Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris mwaka 2024 inayotarajiwa kuanza ndani ya wiki moja ijayo kwenye Uwanja wa Stade de France.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya