Watu wawili wafariki baada ya basi lao kupoteza mwelekeo katika barabara ya mkato wa Gitaru

  • | NTV Video
    1,726 views

    Watu wawili wamefariki baada ya basi la kanisa walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtaroni katika barabara ya mkato wa Gitaru, kando ya barabara kuu ya James Gichuru-Rironi, alhamisi usiku.