Skip to main content
Skip to main content

Wahadhiri wasema hawatarudi darasani hadi walipwe ksh.7.9b

  • | Citizen TV
    1,523 views
    Duration: 3:12
    Wizara ya elimu sasa itaelekea mahakamani kutafuta mwelekeo kuhusu mgomo wa wahadhiri ambao umeingia mwezi wa pili. akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mfumo wa kidijitali wa hazina ya ufadhili wa elimu ya juu, katibu wa elimu ya juu Beatrice Inyangala amesema wizara hiyo itafuata maelekezo ya SRC. Wahadhiri wanasema wanaidai serikali shilingi bilioni 7.9 huku Inyangala akisema SRC iliafiki shilingi milioni 624.