Utata kuhusu kuonekana kwa Boniface Mbasu aliyetoweka Kibra

  • | Citizen TV
    4,423 views

    Baada ya runinga ya citizen kuangazia taarifa ya vijana wawili kutoweka kwa njia tatanishi mtaani kibra , utata umeibuka zidi kuhusu mmoja wao kupatikana. Boniface ambasu anadaiwa kuonekana maeneo ya kehancha kaunti ya migori.