Washikadau na walinda maadili wafanya kongamano ili kuhakikisha watu wapate uhuru wao mitandaoni

  • | NTV Video
    184 views

    Harakati za kutafuta stara, hifadhi na maadili mitandaoni zimeanza kwa sasa washikadau na walinda maadili wakianza kupiga darubini yanayoendelea mitandaoni na kufanya kongamano na matineja na watoto , lengo lao kuu likiwa ni kuhakikisha watu wamepata uhuru wao wa kutumia simu zao watakavyo kwa ajili ya faida na wala sio hasara.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya