Spika wa bunge Wetangula amuagiza Karani wa Bunge kuweka wazi njia maalum ya kutoa misaada ya karo

  • | NTV Video
    58 views

    Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula amemuagiza karani wa bunge la kitaifa Samuel Njoroge kuunda pendekezo la sheria kuweka wazi njia sawa na maalum ya kutoa misaada ya karo na ufadhili wa wasomi ili kuw na usawa katika ugavi huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya