14 Oct 2025 1:22 pm | Citizen TV 486 views Duration: 1:26 Baadhi ya wawakilishi wadi wa kaunti ya Kiambu wametishia kumtimua gavana kimani wamatangi iwapo atakosa kushughulikia kwa dharura sekta ya afya ya kaunti hiyo inayoendelea kuzorota.