14 Oct 2025 1:23 pm | Citizen TV 5 views Wahadhiri na wanafunzi wa chuo cha walimu cha Garissa wameandamana chuoni humo kushinikiza vitengo vya usalama kufanya upelelezi na kuwakamata waliohusika kwenye mauaji ya Hillary Ochieng ambaye alikuwa mhadhiri katika chuo hicho.