Shule ya Upili ya Highway na Shule ya Upili ya Kobala zimeimarisha mazoezi yao huko Romania

  • | NTV Video
    166 views

    shule ya Upili ya Highway kutoka Nairobi na Shule ya Upili ya Kobala kutoka Kaunti ya Homabay zimeimarisha kambi yao ya mazoezi katika Chuo cha CHIKZEREDA huko Romania. Mbali na mazoezi, wachezaji hao walishiriki mechi za kirafiki dhidi ya timu za wavulana na wasichana za chuo hicho ambapo Highway ilishinda mabao 5-4 dhidi ya wavulana na Kobala ikashinda 4-0 dhidi ya wasichana. Wachezaji walieleza maoni yao baada ya mechi hizo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya