14 Oct 2025 1:25 pm | Citizen TV 7 views Viongozi wa dini kutoka mji wa Garissa wametaushwa na ongezeko la visa vya utovu wa usalama mjini humo ambao unaonekana kuzidi katika siku za hivi karibuni.