Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa Tongaren walalamikia bei duni ya kahawa

  • | Citizen TV
    0 views
    Wakulima wa kahawa Kutoka eneo Bunge la tongaren kaunti ya Bungoma Sasa wanaitaka serikali kuu na ile ya kaunti kusulihisha matatizo ya sekta hiyo.