Skip to main content
Skip to main content

Vijana wahamasishwa kuhusu uadilifu wa uongozi Kisii

  • | Citizen TV
    401 views
    Duration: 1:55
    Wadau kutoka sekta mbalimbali za elimu kutoka taifa la Marekani wamezuri Kenya kwa lengo la kutoa hamasisho kwa vijana hususan walio katika shule za upili jijini Nairobi na kaunti ya Kisii kuhusu maswala ya uadilifu na uongozi bora.