14 Oct 2025 1:51 pm | Citizen TV 415 views Duration: 1:59 Kama njia moja ya kulea na kukuza vipaji, serikali kuu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya nakuru, imeanzisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Olenguruone, Kuresoi Kusini.