14 Oct 2025 1:56 pm | Citizen TV 471 views Duration: 1:57 Kama njia moja ya kukuza michezo katika eneo linalokua la joska kaunti ya Machakos, shule ya St.philips Neri imefungua rasmi uwanja wa kisasa na kidimbwi cha kuogelea cha kiwango cha kimataifa.