Kampeni ya kampuni ya colgate inayolenga kukuza afya ya meno.

  • | K24 Video
    3 views

    Mashimo ya meno na magonjwa ya ufizi ni baadhi ya shida za meno za zinazoonekana kukithiri sana humu nchini. Hili lilibainika katika kampeni ya kampuni ya colgate inayoendelea lengo ikiwa kukuza afya ya meno.