Tume ya EACC yatoa onyo kwa mbunge wa kimilili Didmus Barasa

  • | K24 Video
    66 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC Imetoa onyo kwa mbunge wa kimilili Didmus Barasa, baada ya mbunge huyo kufeli kufika mbele ya tume hiyo kuhusiana na tuhuma za hongo. Barasa hata hivyo ameishtumu tume hiyo, na kudai kuwa alipewa mkopo na mfantibiashara wa kike na wala haikuwa hongo ya kumsaidia apate kandarasi ya kujenga barabara kama inavyodaiwa