Miungano ya KUPPET na KNUT wagawanyika kuhusu mgomo uliopaswa kuanz kesho.

  • | K24 Video
    44 views

    Miungano ya waalimu KUPPET na KNUT imegawanyika kuhusu mgomo uliopaswa kuanza hapo kesho. Muungano wa kuppet umeshikilia kuwa mgomo bado upo, ukisema kuwa serikali haijashughulikia matakwa ya waalimu Huku KNUT Ikisema kuwa serikali ina nia ya kusuluhisha matatizo hayo na hivyo mgomo hautaendelea. Wanafunzi wa shule za msingi watarejea kwenye masomo hapo kesho huku shughuli katika shule za awali za upili na shule za upili zikitarajiwa kutatizika.