Idadi ya wanafunzi waliofika shule imekuwa ya chini

  • | Citizen TV
    706 views

    Haya yakijiri, mkanganyiko umeshuhudiwa katika shule nyingi za umma leo huku idadi ndogo ya wanafunzi wakifika shuleni. Hii ni kufuatia misimamo tofauti ya mgomo kati ya vyama vikuu vya walimu nchini. Masomo hayakuendelea katika shule nyingi zilizofunguliwa leo.