Mgomo wa walimu wa KUPPET umeanza rasmi hii leo

  • | Citizen TV
    3,074 views

    Waalimu wa shule za upili wameanza mgomo wao wa kitaifa baada ya serikali kukosa kushughulikia matakwa yao. Mgomo huu ukiathiri masomo katika shule za umma kote nchini, siku ya kwanza ya masomo ya muhula wa tatu. serikali sasa inawataka waalimu waliofanya maandamano sehemu nyingi kusitisha mgomo wao na kufanya mazungumzo....brenda wanga ana maelezo zaidi...