Wataalamu watetea matumizi ya mifumo ya kidijitali ili kuboresha usahihi wa utambuzi na matibabu

  • | K24 Video
    5 views

    Magonjwa mengi ya utotoni mara nyingi huwa na dalili zinazofanana, ambazo wakati mwingine zinaweza kupuuzwa na wazazi na watoa huduma za afya, na hivyo kusababisha matibabu yasiyofaa. Wataalam wa afya sasa wanatetea matumizi ya mifumo ya kidijitali ili kuboresha usahihi wa utambuzi na matibabu ya magonjwa haya.