Wakazi wa Kapsabet walalamikia muundo mbinu duni

  • | KBC Video
    13 views

    Wakazi waliokuwa na ghadhabu wa eneo la Kapsabet waliandamana kulalamikia hali mbovu ya barabara ya Kosirai Chebalungu katika kaunti ya Nandi.Wakazi hao, wengi wakiwa wakulima walipanda migomba barabarani kudhihirisha kutoridhishwa kwao na hali duni ya barabara hiyo. Waliwashutumu viongozi wa eneo hilo kwa kupuuza malalamishi yao wakisema hawawezi kusafirisha mazao yao hadi sokoni kutokana na kuharibika kwa barabara hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive