Wenye mashamba Githunguri wapokea hatimiliki

  • | KBC Video
    28 views

    Zaidi ya wanachama elf-3 wa kampuni ya uuzaji mashamba ya Githunguri katika kaunti ya Kiambu wanatarajiwa kupokea hatimiliki zao baada ya kusubiri kwa muda mrefu. Hatua hii inajiri baada ya serikali ya kuanti ya Kiambu kushirikiana na tume ya taifa ya ardhi na wizara ya ardhi kuzindua shughuli ya siku nne ya kuhakiki hatimiliki za ardhi iliyoanza jana.Mwakilishi Wadi ya Gatongora Daniel Gitau amesema utoaji hatimiliki hizo utafungua ukurasa wa kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika eneo hilo ambayo haingetekelezwa kwa sababu ya ukosefu wa hatimiliki hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive