Mia le Roux ni mrembo wa kwanza asiye na uwezo wa kusikia kushinda taji la Miss Afrika Kusini.
Katika hotuba yake baada ya kupokea taji, alisema anaimani ushindi wake utasaidia wale wanaohisi kutengwa na jamii kutimiza “ndoto zao.”
Bi Le Roux amezungumza na BBC kuhusu kushinda mashindano hayo na utata kuhusu mmoja wa washiriki kujiondoa mwishoni.
#bbcswahili #afrikakusini #shindanolaurembo
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 May 2025
- Uriri Member of Parliament Mark Nyamita has opined that there is no formidable force in place to remove President William Ruto from office come the 2027 General Election.
15 May 2025
- "We do not have the intention to switch off anyone because there is freedom of expression that is enshrined in the constitution,” Kabogo said.