Methali ya Siku I Pema usijapo pema ukipema si pema tena

  • | KBC Video
    28 views

    METHALI YA SIKU

    PEMA USIJAPO PEMA UKIPEMA SI PEMA TENA

    Maana yake: Jambo jipya ambalo hujalifanya linavutia mno lakini ukishalizoea linaanza kuchukiza. Inatutahadharisha tusiwe na pupa kukumbatia mambo mageni na kusahau pale tulipotoka

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive