- 529 viewsVikosi maalum vya Israeli vimemuokoa mateka wa Israeli kutoka katika mahandaki katika eneo la kusini la Ukanda wa Gaza katika “operesheni nzito ya uokoaji”, jeshi limesema Jumanne (August 27), baada ya mtu huyo kutekwa na watu wenye silaha wa kikundi cha Hamas zaidi ya miezi 10 iliyopita mnamo Oktoba 7, 2023. Jeshi lilisema Qaid Farhan Alkadi mwenye umri wa miaka 52, ni wa jamii ya Mabedui huko kusini mwa Israel, na alipelekwa hosptali na hali yake inaendelea kuimarika. Reuters haikuweza kuthibitisha yenyewe sehemu ambapo video hiyo ya majeshi ya Israeli ilichukuliwa lakini Reuters waliweza kuthibitisha wenye kwa kujitegemea kuwa eneo hilo ni Hospitali ya Soroka, kutokana na majengo yalivyo na alama ambazo zinalingana na picha za majengo ya eneo hilo. Wakati operesheni hiyo ilipothibitishwa, vituo vya televisheni vya Israeli vilionyesha helikopta ya jeshi ikitua katika hospitali wakati wahudumu wa afya na gari la wagonjwa lilikuwa likisubiri kumpokea Alkadi. - Reuters #gaza #ukandawagaza #mateka #israeli #jeshi #voa #voaswahili #qaidfarhanalkadi #hamas #palestina #wapalestina
Jeshi la Israeli lamuokoa mateka Qaid Farhan Alkadi aliyeshikiliwa Gaza
- - Duniani Leo ››
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
- 6 Aug 2025 - Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban