Wahudumu wa bodaboda katika Kisiwa cha Amu walalamikia marufuku ya kutoka nje kuanzia saa nne usiku

  • | Citizen TV
    200 views

    Wahudumu wa bodaboda katika Kisiwa cha Amu wanalalamikia marufuku ya kutoka nje kuanzia saa nne usiku. marufuku hiyo iliwekwa ili kuzima visa vya utovu wa usalama ambapo vijana kadhaa wamekatakatwa kwa mapanga. wahudumu hao wa bodaboda wamesema kuwa kazi zao nyingi huwa saa za usiku na hivyo kafyu hiyo itawakosesha mapato.