Baadhi ya wawakilishi wadi kutoka Meru wamtetea gavana Kawira Mwangaza

  • | Citizen TV
    659 views

    Baadhi ya Wawakilishi wadi wanaomuunga mkono gavana Kawira Mwangaza wamemsuta seneta wa kaunti ya Meru Kathuri Murungi kwa madai kuwa anahujumu maendeleo kupitia Barua aliyomuandikia mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakango akimtaka asiidhinishe matumizi ya fedha za Mwaka huu katika kaunti ya Meru hadi pale kesi ya kuondolewa ofisini kwa Gavana Mwangaza itakapoamuliwa.