Zaidi ya watoto 600 kutoka Voi wapewa ufadhili

  • | Citizen TV
    133 views

    Zaidi ya watoto 600 kutoka vijiji vitano vya kasigau eneobunge la voi, kaunti ya Taita-Taveta, wamefaidi mradi wa ufadhili wa masomo unaowezesha wanafunzi wasiojiweza na wanaotoka katika familia maskini kupata karo. Ufadhili wa masomo katika eneo hilo umetajwa kuchangia kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi kaunti ya taita taveta. na kama anavyoarifu keith simiyu, Mradi huo wa elimu umekuwa ukiwafadhili wanafunzi kwa miaka 20.