Ugavi wa ardhi ya Rombo ilioko Kajiado wazingirwa na mtafaruku

  • | Citizen TV
    105 views

    Wawekezaji ambao wamenunua vipande vya ardhi kwenye shamba la malisho la Rombo ambalo limekuwa likizozaniwa kwa Muda mrefu wamepata hakikisho kuwa mzozo huo hautaathiri uwekezaji wao katika eneo hilo la Rombo.