Bunge la kaunti ya Kiambu lapitisha sheria ya mwongozo wa pombe ya muratina

  • | Citizen TV
    367 views

    Bunge la kaunti ya Kiambu limepitisha sheria ya kudhibiti vilabu na baa pamoja na maduka ya kuuza vileo katika kaunti ya Kiambu na kuweka faini kwa yeyote atakeyapatikana akienda kinyume na sheria hizo.