Wakaazi wa Ol - Joro Orok waandamana kulalamikia hali mbaya ya barabara

  • | Citizen TV
    168 views

    Wakazi wa maeneo ya Nyairoko, Olaimutia na Charagita eneobunge la Ol-Joro Orok wameandamana kulalamikia hali mbaya ya barabara