- 1,195 viewsDuration: 1:12Mahakama kuu ya Uganda imetoa agizo kwa serikali ya uganda kuwawasilisha wanaharakati wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo chini ya siku saba baada ya kutoweka kwao jijini Kampala wiki mbili zilizopita. Haya yamejiri huku kinara wa PLP Martha Karua akishinikiza serikali kuhakikisha wakenya hao wawili wameachiliwa huru, huku akkashifu wizara ya mashauri ya kigeni kwa kufeli katika majukumu yake ya kutetea wakenya